Thursday, 27 July 2017

UMELIONA POVU LA SHAFFIH DAUDA KWA SALEH JEMBE







Baada ya Mwandishi mashuhuri wa habari za michezo nchini katika gazeti la CHAMPIONI na Blog ya SALEH JEMBE,Saleh Ally (SALEH JEMBE) kupost kwenye ukurasa wake wa Instagram  habari ya kukamatwa kwa Shaffih Daudi na wenzake kwa tuhuma za rushwa huko mwanza,Shaffih Dauda aliibuka kwenye post hiyo na kucomment hivi

 "Ili upate ratings, kuna story ngapi zinamuhusu dauda huwa huzipost,story ya kwanza kutoka mwanza ilikuwa inahusu uzinduzi wa ndondo cup mbona hukuipost?"

Zaidi unaweza kuangalia hapa chini 

 


No comments:

Post a Comment