Breaking




Friday, 4 August 2017

CUF HUU MWAKA WAO..., WAMECHAPANA NGUMI MAKHAKAMANI LEO


Moja ya habari iliyonifikia wakati huu ni kuhusu Wanachama Chama cha Wananchi CUF wanaodaiwa kumuunga mkono Katibu Mkuu wa Chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad na wanaodaiwa kumuunga mkono Mwenyekiti Prof. Ibrahim Lipumba wamepigana katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam.

 






No comments:

Post a Comment