Bilinganya Hutibu Jipu ""
matumizi:
Ponda ponda bilinganya na kitunguu swahum.
>>>>funga kitambaa kisafi juu ya jipu kwa siku 3 Kila asubuhi unabadilisha

MPERA HUTIBU TUMBO LA KUHARA
Ponda ponda majani ya mpera alafu chemshaa
MATUMIZI YAKE
kunywa nusu kikombe kutwa mara tatu kwa siku 2
No comments:
Post a Comment