Report ya Tanzania Unemployment Rate Forecast kuhusu hali ya ajira katika nchi ya Tanzania inakadiriwa kuwa ukosefu wa ajira utashuka chini ya asilimia 9.5% kufikia mwaka 2020.
Katika report hiyo inaonekana kuna matumaini makubwa.
Wakitumia Model ya Past behaviour/ Tabia za zamani za Tanzania za sababu za kukosekana kwa ajira nchini Tanzania ikiwa ni pamoja na data mbalimbali zilizowafikisha katika hitimisho hilo kuwa kuna TUMAINI KUBWA by 2020
Naona ripoti hii ni ya kutia moyo hasa ukichukulia data za mwaka 2000 Graduates wa Vyuo Vikuu nchini Tanzania walikuwa elfu 40,000 tu na wengine hawana ajira .
Pengine kwa sasa wasomi wanaweza kuwa wameongezeka idadi na wanaweza kuajiriwa ili mradi kuna mikakati madhubuti, ubunifu na maono ya viwanda nk.
Naona tunakoelekea si kubaya, tuwe na tumaini. Kama nchi ya Japan Mwezi Aprili mwaka huu wa 2017 iliweza kutoa ajira kwa 96.4% ya wahitimu wa vyuo vikuu ni nini kitakachotushinda tukishikamana?
Nakubaliana na ripoti hiyo kuwa INAWEZEKANA
Tanzania Unemployment Rate Forecast 2016-2020
Unemployment Rate in Tanzania is expected to be 10.11 percent by the end of this quarter, according to Trading Economics global macro models and analysts expectations. In the long-term, the Tanzania Unemployment Rate is projected to trend around 9.05 percent in 2020, according to our econometric models.
Forecast
Unemployment Rate
10.3
10.11
10.07
10.02
9.96
9.05
percent
Tanzania Unemployment Rate Forecasts are projected using an autoregressive integrated moving average (ARIMA) model calibrated using our analysts expectations. We model the past behaviour of Tanzania Unemployment Rate using vast amounts of historical data and we adjust the coefficients of the econometric model by taking into account our analysts assessments and future expectations.
The forecast for - Tanzania Unemployment Rate - was last predicted on Friday, August 4, 2017.
Tanzania Unemployment Rate | 2001-2017 | Data | Chart | Calendar | Forecast
No comments:
Post a Comment