Breaking




Wednesday, 2 August 2017

TOP TEN YA RADIO NA TV ZINAZOPENDWA ZAIDI TANZANIA




 

Taasisi ya Utafiti ya GeoPoll imetoa list ya top 10 ya vituo vya Radio ambazo zimesikilizwa zaidi Tanzania kwa Q2 2017, ikitumia data za kila siku zilizokusanywa kupitia Media Measurement Service ambapo kituo cha Radio ya Clouds FM kimeongoza.

Clouds FM imeongoza kwa mara nyingine kwenye list hiyo ikifuatiwa na Radio Free Afrika wakati TBC Taifa ikikamata nafasi ya tatu.

Aidha Taasisi hiyo pia imeitaja Clouds TV kuwa kituo kinachotazamwa zaidi Tanzania katika top ten list ya Television zinazotazamwa zaidi Tanzania ikifuatiwa na ITV na East Africa TV.

Radio zinazosikilizwa zaidi Tanzania



Television zilizotazamwa zaidi Tanzania



No comments:

Post a Comment