Alfajiri ya leo jumatano Agosti 5,2017 wakati wa kisiwa cha Panza Kusini Pemba walikumbwa na taharuki na kushangazwa baada ya kuonekana kifurushi kilichofungwa kama maiti ya mtoto mchanga na kilipofunguliwa ndani yake kulikuwa na chege la mgomba mwekundu ,tojo ya ndizi nyekundu ,hirizi , kitunguu maji pamoja na karatasi yenye maandishi ya kiarabu.
Haijafahamika ni nani aliweka kitu hicho na kwa lengo gani
Zaidi angalia video hii hapa chini
No comments:
Post a Comment