Breaking




Saturday, 16 September 2017

DIAMOND APOKELEWA KAMA RAISI MSUMBIJI, APEWA HESHIMA ZOTE ZA KIRAISI.

SUNGO BLOG

Hayo mapokezi ya Diamond ni makubwa sana amepewa heshima kubwa mno hakuna msanii Tanzania aliewahi kupokelewa vile ngoja tusubiri na rekodi atayovunja ya kufanya show indigo london ambapo hakuna msanii wa bongo aliewahi kufanya show ya peke yake indigo.

No comments:

Post a Comment