Breaking




Monday, 11 September 2017

HAJI MANARA KAJA NA HILI JIPYA TENA


Sungo blog

Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa club ya Simba Haji Manara ni moja kati ya viongozi na wapenzi wa soka wanaojiamini sana na mara nyingi amekuwa akipenda kuandika post za utani kwa wapinzani wao Yanga.

Haji Manara usiku huu kutoka katika instagram account yae ameandika ujumbe akiwa kapost picha ya kikosi  cha Simba kuwa kwa sasa Simba ndio Brand maarufu zaidi nchini kuliko zote.

usisite kunichia comment yako hapo chini.



No comments:

Post a Comment