Breaking




Monday, 11 September 2017

KUMBE MAREKANI NDIO GWIJI LA MADENI DUNIANI. ANGALIA KIWANGO CHA DENI LAKE KILIPO FIKIA

.

Sungo blog

karibu tena mpenzi msomaji wa Mtilah blog. Leo tena nimekuletea hii kali kutika ulimwenguni, kama unakumbuka zile tetesi za kwamba deni la Tz kama linge gawanywa kwa wa Tanzania basi kila mtanzania angeweza kudaiwa kiasi cha fedha kisicho pungua laki 4 mpaka tano? 

Sasa wataalamu wa mambo wamefanya utafiti na kuja na ripoti hii ya nchi zenye madeni makubwa zaidi duniani, Kitu ambacho unaweza kujifunza hapa ni kwamba inchi zenye uchumi mkubwa zaidi duniani ndizo zenye madeni makubwa zaidi, Marekani yenyewe ndio nchi inayoshikilia nambari moja kwa deni kubwa zaidi, Deni lake linakadiliwa kua zaidi ya dola 17 trioni, ukitaka kujua thamani ya pesa hiyo kwa fedha za Tanzania izidishe hiyo 14 trilion kwa 2200 thamani ya Dola Moja.

Ulimwenguni Tanzania haipo hata kwenye inchi 50, ndani yahiyo orodha.

Nimekuwekea hapa jedwali la inchi hizo. karibu!




No comments:

Post a Comment