Sungo blog
Karibu mpenzi msomaji wa sungo blogBila shaka wewe ni mpenzi wa mitandao ya kijamii, na bila wasiwasi wowote wewe pia ni mpenzi wa habri za mastaa wakubwa wakubwa ulimwenguni. leo nimekuletea staa huyu kutoka nchini marekani ambae ndie mwenye idadi kubwa zaidi ya wafuasi(followers) huko instagram,
Selena Gomez, mwana mitindo, muigizaji na mwanamuziki ambae pia ana mahusiano na mwanamuziki nguli duniani justin bieber ndie staa mwenye dadi kubwa ya wafuasi wakati idadi hiyo ikifikia 126 milioni.
wakati idadi ya watanzania ikikadiliwa kuwa kati ya 40 na 50 milioni, ukipiga mahesabu rahisi sana utaweza kuona ni mara ngapi ya watanzania wanaweza kufikia idadi ya wafuasi wa gomez.
mchezaji wa mpira wa miguu maarufu zaidi duniani Christiano Ronaldo yeye ana jumla ya wafuasi 110 milioni kwenye mtandao Huo wa Instagram Maarufu kwa kushare picha.
No comments:
Post a Comment