Breaking




Thursday, 14 September 2017

MWENDOKASI YAPATA AJALI

Sungo blog

 

Mabasi ya mwendokasi yamegongana yenyewe maeneo ya Shekilango. Huduma imesimama kwa muda sababu barabara ya Mwendo kasi ni nyembamba.

No comments:

Post a Comment