Sungo blog
Tumeshuhudia mechi kali kabisa hapo juma nne na juma tano. Huku timu kubwa balani humo zikiumana meno, mechi ambao ilokua na magoli mengi ikiwa ilee ya Chelsea.
Hapa nimekuwekea kumbukumbu ya matokeo ya timu Zote za England najua utapenda kusoma wewe mpenzi wa ligi kuu England
No comments:
Post a Comment