Breaking




Sunday, 10 September 2017

NI MESSI TENA NA HAT TRICK ZAKE KWENYE 5-0 YA BARCELONA.

Sungo blog

mshambuliaji Lionel Messi akiifungia bao la kwanza kati ya matatu Barcelona jana Uwanja wa Camp Nou

Jana tarehe 9 septemba  timu ya mpira wa miguu ya Hispania barcelona iliingia tena uwanjani na kukupiga na Espanyol. mchezo huo ulimalizika huku barcelona ikiichapa Espanyol 5-0 katika mchezo wa La Liga. Messi alifunga dakika za 25, 36 na 66 kufikisha hat trick 38 Barcelona, wakati mabao mengine yalifungwa na Gerard Pique dakika ya 84 na Luis Suarez dakika ya 90

No comments:

Post a Comment