Breaking




Tuesday, 19 September 2017

RIPOTI:TANZANIA YA 9 AFRIKA kWA.WANANCHI.WAKE KUISHI MAISHA YA FURAHA NA UZALENDO

Sungo blog



Haya ni matokeo ya tafiti zilizofanywa na wataalamu kugundua watu wa nchi mbali mbali (nchi 218)wanavyoishi kwa raha na kupenda nchi zao na maisha yake,

10.Equatorial Guinea nafasi ya dunian ni 60 point 1.940
9.Tanzania kwa duniani imekuwa ya 58 na kupata alama 1.954
8.Namibia kwa duniani imekuwa ya 55 na kupata alama 1.957.7
7.Malawi duniani imekuwa ya 46 na kupata alama 1.962.4
6.Ghana duniani imekuwa ya 44 na kupata alama 1.970
5.siera Leon duniani imekuwa ya 42 na kupata alama 1.972
4.Zambia duniani imekuwa ya 40 na kupata alama 1.974
3.Madagascar duniani imekuwa ya 38 na kupata alama 1.983
2.Botswana duniani imekuwa ya 28 na kupata alama 1.990
1.Mauritius duniani imekuwa ya 23 na kupata alama 1.994,

Tathmini hii inaonesha Tanzania watu wake wanaishi maisha Safi ,ni miongoni mwa nchi 10 Africa watu wake wanaishi maisha ya malaika, na imetoka Tanzania pekee ukanda wa Africa mashariki na Kati, wakati duniani ikiwa nafasi ya 58 kati ya nchi 218 zilizofanywa tafiti, hii inadhihirisha Tanzania kwa maisha mazuri kwa wananchi wake inazidi nchi 45 Africa na inazidi nchi 160 ulimwenguni,

Chanzo: Strategy: Top 10 most peaceful countries in Afri

No comments:

Post a Comment