Sungo blog
Faridi Miraji, Dar es salaam.
Michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya inatarajia kuanza rasmi Leo September 12 na kilele cha michuano hii ni May 26 2018,Leo yataanza makundi manne ya mwanzo ambayo ni kundi A,B,C na D na katika makundi hayo kila kundi lina timu nne kwahiyo Jumanne ya Leo itapigwa michezo nane ya michuano hii.
Ratiba nzima ya Leo hii hapa kama ifuatavyo...
21:45 AS ROMA VS ATL MADRID
21:45 BARCELONA VS JUVENTUS
21:45 BAYERN MUNICH VS AMDERLECHT
21:45 BENFICA VS CSKA MOSCOW
21:45 CELTIC VS PARIS SANT GERMAN
21:45 CHELSEA VS QARABAG
21:45 MANCHESTER UNITED VS FC BASEL
21:45 OLYMPIAKOS P VS SPORTING LISBON
No comments:
Post a Comment