Breaking




Friday, 15 September 2017

UPDATE : MAHAKAMA YAMUACHIA HURU ASKOF GWAJIMA.

Sungo blog


Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima na wenzake katika kesi ya silaha baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha mashtaka.

No comments:

Post a Comment