Breaking




Tuesday, 3 October 2017

ALIYEMUITA RAIS MAGUFULI ‘KILAZA’ JELA MWAKA 1


Sungo blog

MHASIBU WA SHULE YA SEKONDARI ST JOSEPH, ELIZABETH ASENGA AMETIWAHATIANI KWA KOSA LA KUMUITA RAISJOHN MAGUFULI KILAZA.

ELIZABETH AMETIWA HATIANI LEO KATIKAMAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU,MBELE YA HAKIMU MKAZI MKUUHURUMASHAIDI BAADA YA UPANDE WA JAMHURIKUTHIBITISHA KOSA.

MHASIBU HUYI ANADAIWA KUANDIKA“HAKUNA RAIS KILAZA KAMA YEYEDUANIANI” KATIKA MTANDAO WA KIJAMII WA WHATSAPP.

HAKIMU SHAIDI AKITOA UAMUZI WA MAHAKAMA, ALIMTAKA MSHTAKIWA HUYO KULIPA FAINI YA SH MILIONI TANO AU JELA MWAKA MMOJA AMBAPO AMELIPA FAINI HIYO NA KUACHIWA HURU

No comments:

Post a Comment