Breaking




Tuesday, 3 October 2017

RAIS MAGUFULI: SITAONGEZA MISHAHARA KWA WATUMISHI WA UMMA MPAKA UZALISHAJI UONGEZEKE

Sungo blog

Mheshimiwa Rais ameyaongea hayo katika mkutano mkuu was 33 wa ALAT jijini Dar es Salaam.

Kwa hiyo wafanyakazi jipeni moyo, msubiri mpaka uchumi utakapokua japo haijulikani ni lini uchumi utakua.

VIDEO: 



No comments:

Post a Comment