Breaking




Thursday, 21 December 2017

BREAKING NEWS: MEYA WA ZAMANI WA KINONDONI ALHAJI LONDA ATAKIWA KULIPA MILIONI 18 LEO ILI ASITOLEWE VITU NJE NA URAFIKI

Sungo blog

Meya wa zamani wa Manispaa ya Kinondoni Alhaji Salum Londa amepewa muda hadi saa tisa alasiri leo awe amelipa kodi ya nyumba anayodaiwa na Kiwanda cha Urafiki kiasi cha Sh. 18 milioni, iwapo atashindwa, vitu vyake vitatolewa nje.

No comments:

Post a Comment