Sungo blog
Msanii wa muziki Bongo, M 2 The Pamesema haamini iwapo Diamond na Alikibawana beef kama inavyokuwa ikiripotiwa.
Amesema kilichopo kati ya Alikiba naDiamond ni ushindani wa kimuziki kituambacho ni kizuri katika ukuaji wa muziki waBongo Flava.
“Siwezi kusema wana beef labda wanaushindani wa muziki, kila mtu anajali kufanyakazi vizuri, Mungu awalijie waendeleekufanya vizuri, sitaki beef waendelee tumuziki wetu ufike mbali” M 2 The Pameiambia Bongo5.
M 2 The P amemtolea mfano Diamond kwakusema ameweza kufanya kolabo na wasaniiwengi wa kimataifa kitu ambachokimeitangaza Afrika Mashariki kimuziki nandivyo inavyotakiwa na siyo beef.
No comments:
Post a Comment