Sungo blog
Avance Media imeanzisha tuzo za vijana wenye ushawishi zaidi hapanchini Tanzania ambapo nyota 50 wametangazwa leo hii kuwania tuzo hizo katika vipengele mbalimbali.
Zoezi la kupiga kura limefunguliwa rasmi leo na mtu yeyote anaweza kupiga kura kupita mtandao wa Avance Media.
Vifuatavyo ni vipengele vya tuzo hizo na wahusika:
ENTERTAINMENT
ALI KIBADIAMOND PLATNUMZJOKATE MWEGELOJOTIRIYAMA ALLYVANESSA MDEEWEMA SEPETU
SPORTS
HASHIM THABITJUMA KASEJAMBWANA SAMATTAMRISHO NGASSASHOMARI KAPOMBETHOMAS ULIMWENGU
MEDIA
BABBIE KABAEBDOZENDINA MARIOSIDRIS SULTANMILLARD AYOSALIM KIKEKE
SOCIAL ENT.& CIVIL SOCIETY
FARAJA NYALANDUIRENE KIWIAJENIFFER SHIGOLINANCY SUMARIREBECA GYUMISAIRA DEWJI
SCIENCE & TECHNOLOGY
EDWIN BRUNOEVANS MAKUNDIFAYAZ VALLIJOHN PAULJUMANNE MTAMBALIKELILIAN MAKOI
BUSINESS
CAROL NDOSIHARUN ELIASHELLEN DAUSENIAN FERRAOKRANTZ MWANTEPELEPATRICK NGOWIYUSUF BAKHRESA
LAW & GOVERNANCE
ALBERTO MSANDO BENEDICT ISHABAKAKI BONNAH KALUWA FATMA KARUME JEBRA KAMBOLEPETER KIBATALA
LIFESTYLE
BENJAMIN FERNANDES FLAVIANA MATATA JACQUELINE MENGI MILLEN MAGESE MIRIAM ODEMBA OSSE GRECA SINARE
Bonyeza link hii hapa chini kuweza kupiga kura.
No comments:
Post a Comment