Sungo blog
Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyimaarufu kama Sugu amefunguka na kusemakuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hawawezikulikomboa jimbo la Mbeya Mjini hata kwamabavu kwani anasema watu wa MbeyahawajaribiwI hata Kikwete na Magufuliwanatambua hilo.
Sugu amesema hayo alipokuwa akihojiwa naMCL na kudai kuwa amesikia CCM wanasemawanataka kukomboa jimbo la Mbeya Mjini nakudai kuwa hawataweza kwa kuwa hata waoCHADEMA hawajalala.
"Wananchi bado wanaridhika na sisi kwa hiyonjia pekee watakayofanya labda watumiemabavu na kwa kutumia mabavu CCM Mbeyawanajua, Kikwete anajua, Magufuli anajuakwamba kwa mabavu kwa Mbeya uwezo huohawana kwa sababu watu wa Mbeyahawajaribiwi na hilo tunalithibitisha hatakwenye Kata ya Ibighi wameleta mchezomchezo wao kote walikoleta kwenye kata 42lakini walipofika Ibighi tuliwapiga 'Stop'tukawathibiti" alisema Sugu
Sugu aliendelea kusema kuwa "Kama kwenyeuchaguzi mdogo wa Ibighi ambao kulikuwana resources zote za mkoa ziliwepo pale nawakashindwa kutumia mabavu watawezajekwenye uchaguzi mkuu ambao resourceszinakuwa mbalimbali, majimbo yanakuwasaba huko kote hao polisi wa kuwapelekahawana kama ambavyo waliweza kukusanyapolisi wa mkoa mzima kuwapeleka kwenyeKata ya Ibighi na bado wakashindwa"alisisitiza Sugu
No comments:
Post a Comment