Breaking




Monday, 25 December 2017

TANZANIA YACHAPWA MABAO 7-6 NA MALAWI MICHUANO YA SOKA LA UFUKWENI

Sungo blog


Timu ya Taifa ya soka la ufukweni imepoteza kwa mabao 7-6 dhidi ya Malawi katika michuano ya Copa Dar es Salaam inayoendelea kwenye ufukwe wa Coco Beach jijini Dar es Salaam.

Fainali ya michuano hiyo itakuwa kesho kwenye ufukwe huo wa Coco.

No comments:

Post a Comment