Breaking




Sunday, 7 January 2018

BAADA YA KIMYA KWA MUDA,WEMA SEPETU AIBUKA NA HILI KWA MASHABIKI ZAKE

Sungo blog

SUPASTAA wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu leo ametupia picha mpya kwenye akaunti yake ya Mtandao wa Instagram, zikimuonesha akiwa na mwonekano mpya ambapo muda mfupi baadaye, mashabiki zake walianza kutoa maoni yao, wengi wakionesha kufurahishwa na mwonekano wake mpya.
Mashabiki hao wamembatiza Wema kwa jina jipya, wakimuita Malkia wa Instagram Tanzania au mwenye insta yake kaja.



No comments:

Post a Comment