Sungo blog
Faridi Miraji.
Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea ameendeleza moto wake wa kufunga katika klabu ya Atletical Madrid leo tena amefunga goli la Pili dakika ya 68.
-Baada ya kufunga goli Diego Costa alienda kushangilia kwa mashabaki na mwamuzi akampa kadi ya pili ya njano na kutoka nje.
-Hili ni goli la pili la Costa tangu arejea kunako klabu ya Atletical akitokea Chelsea goli la kwanza alilifunga Jumatano kwenye kombe la Copa del Rey, Atletico akishinda kwa magoli manne kwa bila (4-0)
-Ni kwa mara ya kwanza mshambuliaji Diego Costa kufunga na kutolewa nje kwa kadi nyekundu katika La liga.
-Diego Costa ameifunga magoli 5 klabu ya Getafe katika mechi 7 za la liga.
-Kocha wa Atletical Madrid hajawahi kufungwa na klabu ya Getafe tangu aanze kuifundisha klabu ya Atletical Madrid. Getafe na Atletico zimekutana mara 10 (W9, D1) atletical imeshinda mechi 9 na kutoa sare mchezo mmoja.
No comments:
Post a Comment