Sungo blog
Waziri wa mabo ya ndani ya nchi, Mh.Dk Mwigulu Nchemba amesema kuwa mara baada ya kukamilika zoezi la utoaji wa Vitambulisho vya Taifa ( NIDA) inatarajiwa kuwa vitambulisho hivyo vitumike kupigia kura katika chaguzi mbalimbali.
Chanzo: Habari Leo
No comments:
Post a Comment