Sungo blog
Klabu ya Yanga imeendelea kufanya vizuri kweye michuano ya Mapinduzi inayoendelea kule visiwani Zanzibar baada ya jioni ya leo kuibuka na Ushindi wa Goli moja kwa Bila dhidi ya timu ya JKU.
Goli hilo pekee kwenye mchezo huo limefunhwa.na Ramadhan Kesyy
Huu ni ushindi wa pili mfululizo kwa yanga baada ya juzi kuifunga.2-1 mlandege Fc
No comments:
Post a Comment