Breaking




Tuesday, 25 July 2017

BREAKING NEWS:WATU WATATU WA FAMILIA MOJA WAFARIKI KWA AJALI HUKO MKOANI IRINGA






Watu watatu ambao walikuwa wakisafiri kwenda mkoa wa Ruvuma kwa gari Binafsi wamefariki dunia huku watatu wengine wamejeruhiwa  baada ya gari dogo walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori.

Taarifa kamili iangalie kwenye hii video hapa chini



No comments:

Post a Comment