Breaking




Saturday 8 July 2017

CHIN Bees: Siwezi Kubadilisha Jina Kwa Sababu ya Chid Benz

Msanii wa Bongo Fleva, Chini Bees amesema hawezi kubadilisha jina ili kumkwepa Chid Benz.

Wiki iliyopita rapper Chid Benz alimtaka msanii huyo kubadili jina kwa sababu yanafanana kitu ambacho Chin Bees amekuja kukupinga.

“Mimi siwezi kubadilisha jina kwa sababu ya Chid Benz kwa sababu halifananini, very different. Mimi nafanya muziki wangu, siwezi nikakaa nipiganie jina, hivyo bro kama anahitaji jina dah!, sidhani kama jina langu linaendana na lake  me am do my thing,”  Chin Bees ameiambia E-News ya EATV.

Sababu ya Chid Benz kumtaka Chin Bees kubadili jina aliadai kwanza yamefanana na pili yeye ana hit song song 32 huku akiadai C. Bees hana hata nyimbo saba, hivyo hawafanani

No comments:

Post a Comment