Breaking




Sunday, 9 July 2017

KWELI SIMBA HAWAPENDI UJINGA MSIMU HUU,TOKA MTU WEKA MTU



Simba imemsajili beki Salim Mbonde kutoka Mtibwa Sugar.

Mbonde amesaini Simba mkataba wa miaka miwili ili kuimarisha safu ya ulinzi.

Mbonde anatua Simba baada ya kuwa na taarifa kuwa beki Abdi Banda amejiunga na timu ya Afrika Kusini

No comments:

Post a Comment