Breaking




Friday, 14 July 2017

Shabiki aingia katikati ya uwanja kumkumbatia Wayne Roney

Shabiki mmoja ashindwa kuvumilia na kuamua kuingia kiwanjani kwenda kumsalimia Wayne Rooney.

Mshabiki huyo ambaye alivalia jezi ya Man United aliingia uwanjani na kufanikiwa kumkumbatia mchezaji huyo wa Everton kabala ya kutolewa na askari. 


No comments:

Post a Comment