Dunia na maajabu yake ndivyo unavyoweza kusema baada ya leo July 18 2017 kupitia Leo Tena ya Clouds FMmtangazaji Geah Habib kuinasaHekaheka iliyotokea Dodoma ambako ndugu walipata taarifa za msiba wa ndugu yao na wakathibitisha ni yeye kisha wakamzika lakini siku 3 baadae Marehemu akapiga simu.
Imeelezwa kuwa kijana huyo aliyejulikana kama Seif aliuawa na kisha mwili wake kutupwa Morogoro na ndugu walipoufuatilia na kuupata walipewa kibali cha kuuzika huku wakijiridhisha kuwa ni ndugu yao lakini siku tatu baadaye walipokea simu ya kijana huyo akidai yupo hai….. bonyeza play hapa chini kusikiliza kisa kizima







No comments:
Post a Comment