Breaking




Wednesday 5 July 2017

TAYARI HALIMA MDEE YUPO MIKONO SALAMA YA JESHI LA POLISI


Jeshi la POLISI Dar es SalaamLimefanikiwa kumkamata Halima Mdee nyumbani kwa mama yake Kibamba .Akizungumza Katika Habari za hivi punde Radio one,Kaimu Kamishina wa Kanda maalum Mkondya alisema wametekeleza agizo la mkuu wa Wilaya,mara baada kuhojiwa atapelekwa katika vyombo vya sheria.

source:Radio one

No comments:

Post a Comment