Mchezo wa fainali ya michuano ya Ndondo Cup ambao awali ulipangwa kufanyika kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam ,umerudishwa kwenye uwanja wa Kinesi.
Taarifa iliyotolewa na kamati ya Nodnod Cup leo Agosti 11, imesema mchezo huo umerudishwa kwenye uwanja wa Kinesi kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao.
Mchezo huo ambao utafanyika Keshokutwa Jumapili Agosti 13, utawakutanisha timu ya Misosi FC na Goms United.
No comments:
Post a Comment