Wakiwa na misaada yao.
Wanachama wa kikundi chaWatanashati, waliojiunganisha kwenyeMtandao wa WhatsApp kwa pamoja wamehamasisha matumizi mazuri ya mitandao ya kijamii nchini kwa kuwa mfano bora baada ya kutoa msaada kwa wagonjwa katika Hospitali ya Ocean Road jijini Dar es Salaam.
Misaada walioikabishi Ocean Road.
Jambo hilo ni jema na la kuigwa kwa makundi mengine yanayotumia mitandao ya kijamii kuunganisha nguvu zao, kuhamasisha jambo jema au kutoa misaada ya namna hii ili kuwasaidia watu wenye uhiraji maalum.
Wakiwa katika picha ya pamoja.
Wakiweka pozi.
Wakiweka pozi pamoja.
No comments:
Post a Comment