Breaking




Saturday, 26 August 2017

HAYA HAPA MATOKEO YA MECHI ZOTE ZA LIGI KUU TANZANIA BARA ZILIZOCHEZWA LEO JUMAMOSI AGOSTI 26


Sungo blog


 

Ligi kuu ya Vodacom imefunguliwa leo Agosti 26 ,2017 kwa kuchezwa micheozo saba katika viwanja mbalimbali. 

Yafuatayo ni matokeo ya mechi zote saba za leo

1.Simba 7-0 Ruvu shooting 

2.Mwadui 2-1 Singida United

3. Ndanda 0- 1 Azam -

4.Kagera sugar 0-1 Mbao

5.Njombe Mji 0-2 Tanzania Prisons

6.Mbeya City 1-0 Majimaji

7. Mtibwa 1-0 Stand United

  

Kesho jumapili Agosti 27,2017 kutakuwa na mechi moja,Yanga watavaana na Lipuli.Mchezo utachezwa katika uwanja wa Uhuru Dar es salam saa kumi jioni

No comments:

Post a Comment