Breaking




Wednesday, 23 August 2017

MAGAZETI YOTE KUSAJILIWA UPYA





Msemaji wa Serikali  Dk Hassan Abbasi  amesema kwamba kuanzia leo hadi Oktoba  15, Magazeti yote yataanza kusajiliwa upya.

‘Baada ya Oktoba 15, 2017 hakuna atakayeruhusiwa kuchapisha bila usajili"Amesema Dk Abbasi

Ameongeza kwamba  "Mfumo mpya wa utoaji wa leseni kwa machapisho yote umeanza rasmi leo ‘’

Amesema  taratibu zote za upatikanaji wa leseni zimewekwa katika tovuti   http://www.maelezo.go.tz "-

Mawasiliano kwa ajili ya ufafanuzi kuhusu utaratibu wa usajili ni 0622664606 na 0717312417 au kupitia maelezo@habari.go.tz

No comments:

Post a Comment