Sungo blog
Leo ndio leo ukweli utabainika kuwa nani mkali kati ya Mayweather na McGregor, Hili sio pambano la kukosa maana ndio litakalo amua Nani mkali kati ya wana masumbwi hao wawili na tumekuwekea muda wa pambano, Kwa Tanzania itakuwa ni saa 12 alfajiri..







No comments:
Post a Comment