Unapoambiwa mwanafunzi ni simu uwe unaelewa. Mwalimu Rajab Mourice Ntine wa shule ya Msingi Ligunga iliyopo katika kijiji cha Ligunga wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kumjaza mimba mwanafunzi wake wa darasa la sita ambae ni Sofia Mitete.
Mwalimu huyo alikamatwa jana Agosti 10,2017 akiwa shuleni baada ya taarifa kusambaa kijijini hapo kuwa kuna mwanafunzi amemjaza mimba hivo baadhi ya watu wakatoa taarifa halmashauri ili akamatwe kabla hajatoroka
Mourice meingia kwenye "msala" huo ikiwa ana miaka mitatu tu kazini ambapo alipata ajira hiyo mwaka 2014.
NB:Nawakumbusha tu Kwa, sheria za sasa zilivo,ukimpa mimbamwanafunzihukumu yake ni jela miaka 30
No comments:
Post a Comment