Tina anasema aligundua tofauti kwa mumewe mara baada ya mumewe kurejea nchini akitokea masomoni nchini Malaysia ambako alikaa kwa muda wa mwaka mmoja na miezi minane.
“Kila nilipo kuwa nikikutana faragha na mume wangu, niligundua tofauti kubwa sana, kwani uwezo wa mume wangu katika tendo la ndoa ulikuwa umepungua kwa kiasi kikubwa sana na wakati mwingine hakuwa kabisa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa “.
Baada ya kugundua tofauti hii, niliamua kumueleza mume wangu wazi wazi na kumtaka tutafute tiba kwa ajili ya tatizo lake .
Niliamua kufanya hivi kwa sababu ninampenda sana mume wangu na sikutaka kutoka nje ya ndoa yangu kwa sababu eti mume wangu ana udhaifu katika tendo la ndoa.
Akielezea kuhusu chanzo cha yeye kuwa na udhaifu mkubwa katika tendo la ndoa , mume wa Tina alisema :
“ Kwa muda wote wa mwaka mmoja na nusu nilio kuwa nasoma nje ya nchi nilikuwa nafanya masturbation ili kukudhi haja zangu. Alisema .
Mume wa Tina aliongeza kuwa “ Niliporudi nyumbani Tanzania, mchezo huu ulikuwa tayari umeniathiri kisaikolojia na kimaumbile pia.
JINSI KUJICHUA KULIVYO MUATHIRI MUME WA TINA
Mume wa Tina anasema , mchezo wa kujichua ulimuathiri kwa kiwango kikubwa sana. Akielezea baadhi ya madhara ambayo ameyapata kutokana na kujichua, mume wa Tina anasema :
1. Kwanza maumbile yangu ya kiume yamelegea na kusinyaa sana.
2. Ngozi ya kwenye uume wangu imekufa ganzi. Huwa sihisi chochote kabisa. Hata ninapomuingilia mke wangu huwa nakuwa kama sijamuingilia. Yani sihisi chochote kabisa.
3. Kama hiyo haitoshi, hata ninapokuwa nafanya masturbation, nikifika kileleni huwa nakuwa sisikii chochote yani nakuwa kama nimekojoa tu mkojo wa kawaida… Ili kusikia hali ya kawaida, inanibidi nikae labda kwa siku tatu au nne halafu nifanye tena masturbation, hapo ndio ninaweza kusikia kawaida.
4. Ikitokea nimefanikiwa kufanya tendo la ndoa, hufanya katika hali ya ulegelege na huwa ninamaliza ndani ya sekunde chache sana, nikijitaidi sana naweza chukua dakika moja tu.
5. Ninapo maliza kufanya tendo la ndoa, misuli ya uume huwa inauma sana na huwa sina uwezo wa kurudia tena tendo mpaka kesho au baada ya siku mbili.
6. Uume wangu hauwezi kusimama wenyewe mpaka niupapase mimi mwenyewe tena kwa muda mrefu sana.
7. Na mara nyingi huwa ninakosa kabisa hamu ya tendo la ndoa hata ninapokuwa na mke wangu kitandani.
Mwanaume huyu anaeleza kuwa suala la kujichua kwa muda mrefu limemuathiri kisaikokojia kiasi kwamba, wakati mwingine inambidi kutumia dawa kali za kizungu za kuongeza nguvu ili aweze kufanya masturbation.
“ Wakati mwingine, nakuwa nahitaji kufanya masturbation, lakini nakuwa sina nguvu ya kufanya hivyo, hivyo inanibidi niende kununua na kutumia madawa makali ya kizungu kwa ajili ya kupata uwezo wa kufanya masturbation. “ Anasema .
Tina anasema mara baada ya kugundua hali hii, alimshawishi mume wake waanze kutafuta suluhisho sahihi la tatizo linalo mkabili, na mwisho wa siku wakafanikiwa kupata taarifa kuhusu tiba asilia iitwayo Jiko , na kufanikiwa kupata tiba hiyo pamoja na maelekezo yake ya namna ya kuitumia pamoja na lishe yake.
Jumapili ya tarehe 13 AGOSTI 2017 , Neema Herbalist , ilienda kuitembelea familia ya Tina ili kuwajulia maendeleo yao na kuona jinsi wanavyo endelea na tiba na maendeleo ya tiba yapo vipi.
Tulifurahi kuona kuwa, mwanadada Tina amesimamia zoezi zima ka kuhakikisha mume wake anatumia tiba ya Jiko kwa usahihi kabisa na hatimaye tatizo lake liweze kupona kabisa .
Tina anasimamia zoezi hili kwa kumuandalia na kumtayarishia mumewe dawa ya Jiko pamoja na kumuandalia na kumtayarishia lishe na vyakula mbalimbali ambavyo ni muhimu kwa mwanaume anae tumia tiba ya kumaliza tatizo la ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume.
Kuhusu maendeleo ya mumewe, Tina anasema anashukuru Mungu sasa hivi mumewe ameonyesha maendeleo makubwa sana na ana amini baada ya mwezi mmoja wa kutumia tiba hii, mume wake atakuwa amepona kabisa tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume.
KUHUSU SWALA LA MUMEWE KUWA ADDICTED NA KUJICHUA
Kuhusu suala la mumewe kuwa addicted na tabia ya kujichua Tina anasema, anatumia dawa maalumu aliyo ipata katika duka la NEEMA HERBALIST .
Dawa hii ya asili ( KAMA INAVYO ONEKA HAPO CHINI, YENYE RANGI YA BLUE ), haimfanyi mtu kuacha kujichua moja kwa moja, ila inasaidia kumuondolea mtu uwezo wa kufanya masturbation.
Dawa hii huchanganywa na mafuta maalumu ya asili halafu mhusika, anajipaka kwenye mikono, akijipaka kwenye mikono… Akijipaka kwenye mikono hawezi kujishika kwenye sehemu yoyote ile laini ikiwemo sehemu za kiume, kwani akifanya hivyo, itamuwasha na kuchoma sana sehemu laini ya mwili aliyo igusa. Hivyo automatically mhusika hawezi kabisa kujaribu kufanya masturbation, kwani akijaribu kufanya hiovyo itamuwasha sana.
DAWA HII PIA, NI KIBOKO YA KUTIBU NA KUPONYESHA KABISA MAJERAHA YASIYO PONA ( VIDONDA NDUGU )
Tina anasema; kila inapo fika asubuhi huwa nahakikisha mume wangu anajipaka dawa hii kwenye mikono yake, ili niwe na uhakika kwamba hatoweza kufanya masturbation nitakapo kuwa mbali nae.
Tunatoa pongezi kubwa sana kwa mwanadada Tina, kwani ni wanawake wachache sana wanao weza kuwa na moyo kama wa Tina.
Kama wanawake wote walio katika ndoa, wangekuwa na moyo kama wa Tina, basi tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume, lingeweza kudhibitiwa na hatimaye kutokomezwa kabisa, kwa sababu uzoefu wetu unaonyesha kuwa, asilimia kubwa ya wanaume walio katika ndoa , huwa hawataki kuwashirikisha wake zao, pindi wanapo jigundua kuwa wana tatizo la ukosefu na ama upungufu wa nguvu za kiume na hivyo kuendelea kulifanya tatizo kuwa kubwa zaidi, kwani wanaume hawa huwa wanashindwa kutumia kwa uwazi tiba ya kutibu tatizo lao kwa kuhofia wake zao kujua.
KUHUSU NAMNA TABIA YA KUJICHUA INAVYO SABABISHA TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME, BONYEZA LINK HII HAPA :
NA JINSI YA KUPATA DAWA YA JIKO. FIKA KATIKA DUKA LA NEEMA HERBALIST LILILOPO UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM, JIRANI NA SHULE YA MSINGI UBUNGO NATIONAL HOUSING, NYUMA YA JENGO LA UBUNGO PLAZA.
WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0766 53 83 84.








No comments:
Post a Comment