Klabu Ya Ndanda yenye maskani yake Mkoani Mtwara leo wamepata Udhamini toka Kampuni ya Motisum Group na Udhamini walioupata ni Kupitia Bidhaa ya Kiboko Leo.
Udhamini Huo walioupata Timu hiyo ya wana Kuchele ni mkataba wa mwaka mmoja na hata Hivyo haujawekwa wazi thamani Yake.
Timu ya Ndanda ni mmoja kati ya Klabu zilizokuwa zimekumbwa na Ukata ambapo hali hiyo ilisababisha wachezaji wake kuikimbia Timu hiyo na kusajili katika Timu zingine.






No comments:
Post a Comment