Sungo blog
Breaking News : Ofisi za IMMMA Advocates za wanasheria Fatuma karume na Lawrence Masha ambazo zipo.maeneo ya Upanga jijini Dar es salaam zimewaka moto Alfajiri ya Leo.
"Tumepata janga kubwa, ofisi yetu imepigwa bomu uharibifu mkubwa Polisi wapo wengi "nimefika hapa Upanga tangu saa 9, mtuombee "- Fatma Karume
Taarifa kamili.itakuja baadae.hapa hapa sungo blogtzco. M







No comments:
Post a Comment