Breaking




Tuesday, 15 August 2017

SAIDA KALORI APIGIWA SIMU YAKUTISHIWA MAISHA


 

Mwimbaji staa wa nyimbo za asili Saida Karoli ambaye amerejea katika ulimwengu wa muziki baada ya kupotea kwa kipindi kirefu lakini kurejea kwake kumepokelewa kwa namna tofauti baada ya kukiri kupigiwa simu ya kutishiwa kifo.

Ilimshtua hata yeye, hakutegemea kupigiwa simu na kutishiwa maisha tena kwa kuambiwa kila kitu kitachomkuta LIVE ikiwemo ishu ya ushirikina ilivyoshamiri…kwenye hii video Saida Karoli amefunguka mwanzo mwisho lakini imebidi aahirishe show zake zote zijazo.


No comments:

Post a Comment