Sungo blog
Klabu ya Simba imeanza vema ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 7 kwa sifuri dhidi ya Ruvu Shooting. Mchezo huo umechezwa jioni ya leo katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam
Nyota wa Mchezo wa leo alikuwa Emmanuel Okwi, mshambuliaji wa Simba ambae amefunga magoli manne peke yake kati ya saba yaliyofungwa na Simba.
Magoli mengine yamefungwa na Erasto nyoni(2) na Kichuya (1).






No comments:
Post a Comment