Rais John Magufuli amemteua Bernard Hezron Konga kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF).
Taarifa iliyotolewa na katibu mkuu kiongozi balozi John Kijazi imeeleza kuwa uteuzi wa huo umeanza tarehe 09 Agosti, 2017.
Kabla ya uteuzi huo Bernard Hezron Konga alikuwa akikaimu nafasi hiyo.
No comments:
Post a Comment