Mbunge wa Mtama kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),Mheshimiwa Nape Nnauye alifanya mkutano wa hadhara tarehe 7/8/2017 jimboni kwake, ambapo alifanikiwa kuvuna wanachama wapya 60 kutoka Chadema.
Nape alifanya mkutano huo katika kata ya majengo ambapo mbali na kuwapokea wanachama hao wapya pia alifungua shina la wakereketwa katika eneo la Majengo B
No comments:
Post a Comment