Sungo blog
Karibu tena msomaji wa sungo blogni siku nyinngine tena, nakuletea orodha ya magari ghali zaidi duniani. Hii ni kama wewe ni mpenzi wa magari ya kifahari.
# Gari linalo shikilia nafasi ya kumi ni gari aina ya ZENON - ST1 Thamani yake ni dola za kimarekani 1.2 millioni. sawa kabisa na 2.6 bilioni za kitanzania.
# Gari Ghali zaidi kwenye orodha hii ni gari aina ya LAMBORGHINI VENENO - ROADSTER, Thamani yake ni dola za kimarekani zipatazo 4.5 milioni sawa kabisa na pesa za madafu shilingi 10 billioni.
unaweza kuona orodha yenyewe hapo chini............!
No comments:
Post a Comment