Breaking




Monday 9 October 2017

HIZI NDIZO NGOMA TANO KALI ZINAZOWIKA KWA SASA,"NATAMBA" YA ASLYA BADO JUU


Sungo blog

 

Kama ilivyokawaida kila Jumatatu nakuletea chart ya video tano za Bongo Flava ambazo ‘zinatrend’ katika mtandao wa YouTube.

Aslay – Natamba (katika trending ya Tanzania pia ni namba 1), wiki iliyopita nafasi hii ilishikiliwa na Diamond Platnumz ft Morgan Heritage – Hallelujah.

2. Diamond Platnumz ft Morgan Heritage – Hallelujah (katika trending ya Tanzania pia ni namba 2), wiki iliyopita nafasi hii ilishikiliwa na Madee ft Nandy – Sema.

3. Madee ft Nandy – Sema (katika trending ya Tanzania ni namba 9)  wiki iliyopita nafasi hii ilishikiliwa na Ommy Dimpoz – Cheche.

4. Ommy Dimpoz – Cheche, wiki iliyopita nafasi hii ilishikiliwa na Rayvanny – Unaibiwa.


5. Rayvanny – Unaibiwa, wiki iliyopita nafasi hii ilishikiliwa na Nuh Mziwanda – Bao la Ushindi.



No comments:

Post a Comment