Breaking




Sunday 8 October 2017

KOCHA WA MALAWI AMEONDOKA NA WACHEZAJI WAWILI WA TAIFA STARS

Sungo blog


Kocha wa Malawi ,Ron Van Geneugden  amewataja wachazaji wawili wa Taifa Stars kuwa ndio walikuwa wakimtisha zaidi uwanjani kutokana na uchezaji wao mzuri.

Kocha Ron van amewataja wachezaji hao wakati akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya mchezo kumalizika. Wachezaji hao  ni Shiza Kichuya na Mbwana Ally Samatta.

Kocha huyo aliwataja wachezaji hao kwa namba za jezi walizovaa ambapo alisema jezi namba 10 (ambayo ilivaliwa na Samatta) na jezi  namba 16 (iliyovaliwa na Kichuya).

No comments:

Post a Comment