Breaking




Sunday 8 October 2017

MASTAA WA BONGO FLEVA NA STYLE ZAO ZA NYWELE

Sungo blog


Nakukaribisha katika ulimwengu wa mitindo kutoka hapa Bongo5, ni kila siku za Jumapili. Leo tutaangazia juu ya aina mpya ya mtindo wa nywele unaotumika sana na wasanii wa muziki wa Bongo Flava.

Ni muda sasa mtindo huu umekuwa ukishika hatamu kwa mastaa wa muziki nchini na wengine wakiuongezea manjonjo zaidi kwa kuweka rangi ya gold kitaalamu ‘Brech’.

Vile vile wengine wamekuwa wakinyoa panki ilikuongeza urembo zaidi, hii ndiyo habari ya mjini kwa mastaa hao ila kwa wanaotumia rasta za dukani  kutaka kuwa na muonekanao huu kiu kweli wanakosea.









Mimi naziita ‘Rock dread’ kwani ina mfumo wa rasta iliyosokotwa kwa nywele na mstaa kama Diamond,Msami,Young Dee ,Country boy na wengineo wameitumia. Kutaka kupata muonekano huu akikisha kuwa unaonana na wataalamu wa masuala ya nywele wao watakushauri na ikiwezekana watakupa vifaa thabiti vya kukuweza kutengeneza nywele.

No comments:

Post a Comment